Tuzo za Diamond Zapelekwa Kwa Wema, Familia Yacharuka

Tuzo za Diamond Zapelekwa Kwa Wema, Familia Yacharuka

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


Habari zilizosambaa leo kutoka kwenye gazeti moja zinasema familia ya Diamond pamoja Na marafiki walishangazwa na kitendo cha Diamond kuzipeleka tuzo saba alizoshinda kwa Wema Sepetu badala ya kuzipeleka nyumbani kwake.

Pia inasemekana ule ukaribu wa Diamond na Mama yake siku hizi umepungua hata kwenye tuzo za Kill mama yake hakuudhuria kama kawaida yake na tulivyomzoea. Wengine wameanza kusema kuwa ni kwasababu mama yake hamkubali Wema sana so siku hizi anajitenga.

Pia dada yake wa hiari Halima Kimwana hakuonekana ukumbini kwa kile kinachosemekana aliogopa Team Wema Kumzodoa..
 
hawa na tamthilia zao acha iendelee cjui itaishia episode ya ngapi
 
nauza limbwata linalomchanganya diamond zimebaki tano tu ni pm nikuletee hapo ulipo
 
Ndomo keshawekwa kwny chupa..
Hafurukuti.

She controls him ....
Nilishangazwa siku ya ktma wema alipototoa neno la shukrani itadhani yeye ndo alikuwa anashindanishwa...

Zaidi ya hapo akadiriki kusema “ she is proud to be the future wife“

Wema likes spotlight , attention thru media atakua anaugua ugonjwa wa EMAD-Excessive Media Attention Disorder.

She sees dat with ndomo.

Nadhan safari ndomo atavishwa pete na pengine kutolewa mahari na wema.

Jst comments.
 
Hivi mama yake wema bado mzima? Na imagine yale aliyokuwa anabwabwaja kwenye TV kuhusu binti yake! Dah akujua kama ana mtoto chizi nini? Ulimbukeni nao!
 
Back
Top Bottom