Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Umeita mwingine ujue...[MENTION]Dinarzade[/MENTION]waitwa huku...
Ha ha haa hata wewe sio mbaya, naeza anzia hapo tu
Mahaba nipoteze...,
Kama ndege ya malaysia lol!
nauza limbwata linalomchanganya diamond zimebaki tano tu ni pm nikuletee hapo ulipo
hawa na tamthilia zao acha iendelee cjui itaishia episode ya ngapi
Hahaaa hii ni kama isidingo...
tena haishi wanatafta attention hapo wanataka waandkwe tu cio kingne
Mie ntakuchosha tu, hawa wahusika huwa najionea mauzauza tu, nawaacha wafurahie ujana wao.....