Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
😂😂 hivi huyu Dulla Makabila ana nini kwani? Jamaa amekuja na tuzo zake "Makabila Awards" na ametangaza vipengele tisa vilivyojaa utani, kuna UVUMILIVU, FITNA YA MUZIKI, CHAWA BORA mpaka KUPENDA WAGANGA 😂😂
Sema Ruby na Ray the Boss kama hajapenda hivi. Wakasuka kwenye comments na kumpa vidonge vyake 😂 staa huyo wa Singeli Bongo.
Ila Amedy Ally, Niffer Kusah na mashabiki zake wengine wakivunjwa mbavu tu!
Haya wataalam wa mambo ya tuzo hapo vipi…?