ππ hivi huyu Dulla Makabila ana nini kwani? Jamaa amekuja na tuzo zake "Makabila Awards" na ametangaza vipengele tisa vilivyojaa utani, kuna UVUMILIVU, FITNA YA MUZIKI, CHAWA BORA mpaka KUPENDA WAGANGA ππ
Sema Ruby na Ray the Boss kama hajapenda hivi. Wakasuka kwenye comments na kumpa vidonge vyake π staa huyo wa Singeli Bongo.
Ila Amedy Ally, Niffer Kusah na mashabiki zake wengine wakivunjwa mbavu tu!
Haya wataalam wa mambo ya tuzo hapo vipi�
View attachment 3088909
ππ hivi huyu Dulla Makabila ana nini kwani? Jamaa amekuja na tuzo zake "Makabila Awards" na ametangaza vipengele tisa vilivyojaa utani...