Tuzo za goli bora (fifa puskas award) msimu wa 2018/2019 ,Njoo upige kura hapa.

Tuzo za goli bora (fifa puskas award) msimu wa 2018/2019 ,Njoo upige kura hapa.

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
7,918
Reaction score
20,037
Wakuu habari zenu.

Leo tarehe 19 mwezi wa 8 2019, FIFA wametoa list ya magoli yanayowania tuzo ya fifa puskas award yaani tuzo za goli bora ,kuanzia tarehe 16 july 2018 mpaka 19 july 2019.

Mwisho wa kupiga kura public votes ni 1 September 2019.

Wanaowania hizo tuzo ni wafuatao hapo chini.

IMG_6184.JPG


IMG_6185.JPG


IMG_6186.JPG


IMG_6187.JPG


IMG_6188.JPG


IMG_6189.JPG


IMG_6190.JPG


IMG_6191.JPG


IMG_6192.JPG


IMG_6193.JPG


KuangaliA list ya magoli yalivyofungwa ingia kwenye link niliyoiweka hapo chini





Kupiga kura ingia kwenye link ya chini hapo.


Link zote za kupiga kura na kuangalia magoli ziko kwenye website ya fifa yaani www.fifa.com.

Me nimeshapiga kura tayari nimempa townsend wa crystal palace goli lake dhidi ya man city.

Ni vizuri ukapiga kura goli unalolipenda na sio kulala mika Baada ya mshindi kuchaguliwa unasema mo salah akustaili na wakati ujapiga kura.

Mwaka jana nilimpigia kura mo salah na akashinda.nenda kapige kura sasa wewe mpenda michezo. Mwisho ni 1 September 2019.

Ni hayo tu wakuu.
 
Mbona silioni goli la Ali Ali (KMC vs Yanga) mimi kwangu ile diving header ni bora zaidi. FIFA ain't fair!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Je mlillipeleka kugombania,tuanzia hapo
 
Back
Top Bottom