Tuzo za kilimanjaro 2013

kikundi bora cha kizazi kipya ni
jambo squad
mtayarishaji bora chipukizi ni mensen selecta
 
wakuu mniwie radhi,naamia timu ya taifa,anayefatilia tuzo mwingine anaweza akawa anatoa update...
 
Hivi tuzo moja ina thamani ya tsh.ngapi? Anayefahamu tafadhali anijuze
 
Mwanamuziki aliyejuu kwa sas amepata tuzo 1,wanaozingua tuzo kibaoo...heee hata Ney wa mitego kapata tuzo..damn it aint be true.Nafikiri ni wakati sasa BASATA wakatoa fursa kwa wengine kuanzisha tuzo zitakazo toa changamoto kwa hawa jamaa.
 
nimefurahi xanaaaa Ney alivyochukua Tuzo na Rama d
nimeamini zile tuzo hazina mkono wa m2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…