Revolutionary
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 456
- 86
Haaa haaa umenichekesha mkuu! asante kwa link, unaweza kuhisi maneno yako ni masihara kumbe ni kweli!Wanaigeria waliziingilia na kuzifisadi!
Kwenye mtandao wao kuna hii habari:
Coming after protests from many African artists, political leaders and our licensees in various African countries, requesting the moving around of the Pan-African awards ceremony, we, the organizers have decided to move the event from South Africa where it has been staged for ten years to Nigeria.
Zaidi unaweza kufuatilia Kora Awards hapa:
Kora Awards
Jamani Najua mnakumbuka tuzo za Kora namna zilivyotupa sifa sisi Africa, Sasa sioni tuzo yoyote ya sanaa ya muziki ambayo ni Pan African, inayohusisha afrika nzima!
Tuzo za kora zilifia wapi na sababu ni nini!?
Kwa anayejua tujuzane!