Tuzo za ligi kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 tupangie mchezaji wako bora au kikosi chako bora

Tuzo za ligi kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 tupangie mchezaji wako bora au kikosi chako bora

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
VIPENGELE:

1: MFUNGAJI BORA (Tayari inajulikana)

▲ Stephane Aziz KI - (Yanga SC)

2: KIPA BORA
▲Ayoub Lakred - (Simba SC)
▲Djigui Diarra - (Yanga SC)
▲Ley Matampi - (Coastal Union)

3: BEKI BORA

▲Kouassi Yao - (Yanga SC)
▲Ibrahim Hamad - (Yanga SC)
▲Mohammed Hussein - (Simba SC)

4: KIUNGO BORA
▲Stephane Aziz KI - (Yanga SC)
▲Feisal Salum - (Azam FC)
▲Kipre Jr - (Azam FC)

5: MCHEZAJI BORA
▲Aziz KI - (Yanga SC)
▲Feisal Salum - (Azam FC)
▲Djigui Diarra - (Yanga SC)
▲Ley Matampi - (Coastal Union)
▲Kipre Jr - (Azam FC)
▲Ibrahim Hamad - (Yanga SC)
▲Mohammed Hussein - (Simba SC)
▲Kouassi Yao - (Yanga SC)

6. KOCHA BORA
▲David Ouma (Coastal Union)
▲ Bruno Ferry (Azam Fc)
▲Miguel Gamondi (Yanga Sc)
 
Ila ifike muda wenye nafasi huko TFF, Bodi ya ligi n.k waangalie namna wengine wanavofanya na soka la kisasa linavoenda.

Mambo kama ngao ya hisani kuweka match mpaka mshindi wa tatu ni ujuha tu, mambo kama ya tuzo ligi ishaisha watu wapo kwenye maandalizi ya msimu mpya ndio unakuja kutoa tuzo uliona wapi?

Mpira unaendeshwa kiswahili sana bongo.
 
Fact
 
VIPENGELE:

1: MFUNGAJI BORA (Tayari inajulikana)

▲ Stephane Aziz KI - (Yanga SC)

2: KIPA BORA
▲Ayoub Lakred - (Simba SC)
▲Djigui Diarra - (Yanga SC)
▲Ley Matampi - (Coastal Union)

3: BEKI BORA

▲Kouassi Yao - (Yanga SC)
▲Ibrahim Hamad - (Yanga SC)
▲Mohammed Hussein - (Simba SC)

4: KIUNGO BORA
▲Stephane Aziz KI - (Yanga SC)
▲Feisal Salum - (Azam FC)
▲Kipre Jr - (Azam FC)

5: MCHEZAJI BORA
▲Aziz KI - (Yanga SC)
▲Feisal Salum - (Azam FC)
▲Djigui Diarra - (Yanga SC)
▲Ley Matampi - (Coastal Union)
▲Kipre Jr - (Azam FC)
▲Ibrahim Hamad - (Yanga SC)
▲Mohammed Hussein - (Simba SC)
▲Kouassi Yao - (Yanga SC)

6. KOCHA BORA
▲David Ouma (Coastal Union)
▲ Bruno Ferry (Azam Fc)
▲Miguel Gamondi (Yanga Sc)
Kama wanasoma hapa wakati mwingine waongeze wigo.
Mf. Beki bora kuwe na wapembeni(kulia na kushoto); kiungo bora..(wa chini,kati na mshambuliaji) na kuwe na winga Bora(kulia na kushoto)
 
Back
Top Bottom