Tuzo za Malkia wa Nguvu 2019

Tuzo za Malkia wa Nguvu 2019

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,213
Reaction score
1,229
Live kutoka JNICC
Tuzo za malkia wa nguvu zinazotolewa na Clouds Media na KCB tujiajiri program

Mgeni rasmi ni Mama Getrude Mongela, na naona na watu mashuhuri kadhaa akiwemo RC wa jiji hili, wakuu wa wilaya kadhaa ,wafanyabiashara Kama Eric Shigongo na wengine wengi


Tayari tuzo ya malkia wa nguvu sekta ya kilimo biashara imeshatolewa

Tuzo ya malkia wa nguvu sekta ya Elimu pia imetolewa na imekwenda kwa Faraja kota kwa harakat zake za Shule direct

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#Ushindi Unakusubili wewe Malkia wa Nguvu..Category nnayoisubili ni ya Upande wa Burudani.
 
Back
Top Bottom