Tuzo za Muziki "Tanzania music Award" hazina mvuto kabisa,Diamond Ana haki kuzikataa

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Wakuu,

Nafatilia tuzo za Muziki Tz ,aisee kinachoendelea hazina Radha kabisa.

Zinarushwa kupitia king'amuzi Cha Azam, sinema zetuaaa

#nashauri,warejee nyuma zilivyokuwa.
 
Usitupe porojo.. Hato votiwa au kushinda... Muoga.. akubari kuna wasanii wengi na wanatunga nyimbo nzuri bila mat*usi.
Kumbe mnataka nyimbo zisizo na matusi, ukiona yanakukera usizisikilize kabisa.

Binafsi siwezi kuongea bila matusi na wala haina maana sina nidhamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…