Tuzo za muziki 'Trace Music Awards' kufanyika Zanzibar Februari 2025

Tuzo za muziki 'Trace Music Awards' kufanyika Zanzibar Februari 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Hii ni habari njema kwa Music Industry yetu kwani baada ya mwaka jana (21 October 2023) tuzo hizi kufanyika BK Arena huko Kigali, Rwanda, sasa ni zamu yetu.
IMG_0476.jpeg

Tuzo za Muziki zinazoandaliwa na Trace Group, zitafanyika Zanzibar Februari 24-26 Zanzibar, Tanzania kwenye hoteli ya The Mora.

"Sasa ni rasmi tuzo za muziki za TRACE zitafanyika Zanzibar" - Seven Mosha amesema kwenye mkutano wa waandishi wa habari hoteli ya the mora, Zanzibar.
 
Back
Top Bottom