Tuzo za Mwaka JF

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
TUZO ZA MWAKA JF ( TMJF)

Vifuatavyo ni vipengele vitavyogombaniwa katika tuzo za watu mbalimbali

NB: Kila memba ashiriki

1. tuzo ya mchekeshaji bora wa JF

2. tuzo ya mwanamke mrembo wa JF

3. tuzo ya mtu mbishi kuliko wote

4. tuzo ya mwanaume mwenye mvuto

5.tuzo ya mtu anaependa kujitolea kwa wenzake shida au raha

6. tuzo ya mtu muongo kuliko wote JF

7. tuzo ya mtu ambae muda mwingi anakua hewani / online

8. tuzo ya mtu ambae hajawah kupost wala kukoment chochote

9. tuzo ya mtu anayeonekana mara moja moja kwenye JF

10. tuzo ya mtu anaependa kutongoza wanawake inbox

11. tuzo ya mhamasishaji au mchangamshaji bora wa JF

12. tuzo ya mtu mstaarabu na mtaratibu na mwenye busara

13. tuzo ya mtu anayejifanya yeye anajua kila kitu

14. tuzo ya mwanamke mapepe JF

15. tuzo ya mtu mbabaishaji, taperi mjanja mjanja tu

16. tuzo ya kiongoz bora

17. tuzo ya heshima

18. tuzo ya lazima , hii inaenda kwa mwasisi wa JF

19. tuzo ya mtu muaminifu kuliko wote

20. Tuzo ya mtu ambae akikosekana kwenye JF unahis kama mambo hayaendi vile

21. tuzo ya mchapiaj bora au mtu anayekosea kuandika mara kwa mara

22. tuzo ya mtu anayeongoza kutuma picha na video clp

23. mtu anayeongoza kutuma alama au midoli mf. n.k

24. tuzo ya mtu anayeongoza kwa kutoa taarifa, breaknews

25. tuzo ya mtu aneongoza kwa ku copy na ku paste

26. Tuzo ya mchangishaji michango bora

27. Tuzo ya mweka hazina bora.

28. Couple of the year

29. Tukio bora kuwahi kutokea kwenye JF iwe la furaha/huzuni/ugomvi

30. Tuzo ya mtu anayekubalika na watu wote kwenye JF.

31. Tuzo ya mtu anayezira/kukasirika/kuchukia mapema.

32. Tuzo ya mtuma picha za kuudhi japo wengine wanazipenda.

NB:
Kura ni ya wazi taja jina la mshiriki na namba ya kipengele unachompendekeza.
 
Tuzo ya mtu anaeongoza kutuma matukio ukiona jina lake tu unajua kutakuwa na maafa sehemu kama sio nyumba imeungua basi ajali ya magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…