Tuzo za mwanamichezo bora, itv!

Tuzo za mwanamichezo bora, itv!

jouneGwalu

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
2,687
Reaction score
1,782
Mc akiwa ni Kibonde (ni kikwazo kwangu ila ngoja nijikaze tu), tuzo hizi ambazo zimeandaliwa na TASWA.....
Categories za kutosha, za michezo mingi hapa bongo!
Mgeni rasmi ni Mzee Ben Mkapa na Dr Bilal.....!
Tuendelee kuangalia yanayojiri
 
kitu kimoja so far. wanaoshika microphone wengi wanatumia maneno TUNZO na TUZO kama kitu kimoja!!
 
kitu kimoja so far. wanaoshika microphone wengi wanatumia maneno TUNZO na TUZO kama kitu kimoja!!

Kiukweli pia hiyo misamiati inanichanganya kidogo!
Kwa kurudi kwenye kinachoendelea hapo, THT wanaperform saiv!
Huwa najiuliza hivi hapa dar (achilia tz kwa ujumla) hamna kikundi cha vijana wenye vipaji zaidi ya THT??
Sipendi sana huu ujanjaujanja wa "wadau" so called "redio ya wafu"
 
Back
Top Bottom