Mc akiwa ni Kibonde (ni kikwazo kwangu ila ngoja nijikaze tu), tuzo hizi ambazo zimeandaliwa na TASWA.....
Categories za kutosha, za michezo mingi hapa bongo!
Mgeni rasmi ni Mzee Ben Mkapa na Dr Bilal.....!
Tuendelee kuangalia yanayojiri
Kiukweli pia hiyo misamiati inanichanganya kidogo!
Kwa kurudi kwenye kinachoendelea hapo, THT wanaperform saiv!
Huwa najiuliza hivi hapa dar (achilia tz kwa ujumla) hamna kikundi cha vijana wenye vipaji zaidi ya THT??
Sipendi sana huu ujanjaujanja wa "wadau" so called "redio ya wafu"