Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishakuona. Nakuja mremboTuliopo Mlimani City muda huu kwenye tuzo za cinema zetu tusalimiane wakuu. Niko upande wa VIP niko na black gauni na wadada wengine watatu wamevaa blue jeans wana vyura fulaaani.
Duh kumbe ndo wewe!! Haki ya nani sikuwahi kudhani we ni mrembo kiasi hiki! Niko karibu sana na wewe nimevaa suite black flani hivi ila naomba nisikufuate maana natumia fake ID naogopa na wewe usiwe miongoni mwa wale wasojulikana. Ila to be honest nimevutiwa sana sana na weweTuliopo Mlimani City muda huu kwenye tuzo za cinema zetu tusalimiane wakuu. Niko upande wa VIP niko na black gauni na wadada wengine watatu wamevaa blue jeans wana vyura fulaaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sina urembo wowoteeDuh kumbe ndo wewe!! Haki ya nani sikuwahi kudhani we ni mrembo kiasi hiki! Niko karibu sana na wewe nimevaa suite black flani hivi ila naomba nisikufuate maana natumia fake ID naogopa na wewe usiwe miongoni mwa wale wasojulikana. Ila to be honest nimevutiwa sana sana na wewe
Niruhusu nikuzoome kisha nikupige pic then niirushe hapa jukwaani uone wadau watakavyokufuata PM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sina urembo wowotee
nipo nyuma mita chache geuka nikupe Hi naogopa kukushtua hapo hao wenzako
nikija nataka tutoke hapo mara moja then unarud tena maana hao wenye chura wamasaki kama nawagwaya hiviNakuruhusu [emoji23][emoji23]