Okay [emoji12]Nakuruhusu [emoji23][emoji23]
Kama nilishakuonaga insta hvi[emoji23]
hahaha leo sikuachi ila mi sio muongeaji nikifika hapo nauchuna tuAcha wogaaa
[emoji23] [emoji23] wenzako hawakushangai ulivyo bize na simu?Nabishaaa
Leo nimesusiwa meza na washkaji kisa kuchat..wameondoka wote na matusi ma,ito,kila wakipiga stor naitia tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Washazoea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Happ chin mmemwaga nin?[emoji23] [emoji23]
ok nakuja maelezo machache kikubwa unipe namba inatosha so nikikupa simu weka namba nirud sehemu yanguMi sio bongo movie mwakani hiyo vepeee