Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nilikua nae whatsapp tuu
Kurudi nyuma tena nimetoka WhatsApp mie nishaonaIpo bwana wakunyumba. Angalia post #14
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wababe wa nyuma ya keyboard
Halafu huyo handsome boy nataka akikuwa nimbemendeAcha uongo mama wa handsome boy....
Hakuchokozi ni ukweli jamaniUnaona NN ananichokoza eeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamefanyaje.. wanamuacha mtoto mzuri anasubiri Uber?Ndio maana kila siku wanaume wa Dar wanapondwa humu ndani.
Ngabu nikigeuka nitawatisha watu yaan nina sura ya baba yanguSJ hebu geuka basi! Nimechoka mugongo mugongo bana....
Halafu huyo handsome boy nataka akikuwa nimbemende
Ngabu nikigeuka nitawatisha watu yaan nina sura ya baba yangu
Wamefanyaje.. wanamuacha mtoto mzuri anasubiri Uber?
Baba wa kisura tulikua wote mioyoni
Sasa kweli mtu kavaa nguo marangi mchanganyiko toka juu mpaka chini!kha...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]