Je unapenda kumpa mtu yeyote tuzo ya taifa Kwa matukio yake anayoyafanya Kwa jamii ?
Kazi kwako kutiririka.
Wakwangu natoa Tuzo za taifa kwa hawa watu.
__Piere liquid huyu nampa Tuzo ya mlevi wa Taifa,
__Stive Nyerere huyu nampa Tuzo ya Mfiwa wa Taifa,
Nikija kwenye member wa jamii forum
__Gudume nampa Tuzo ya mpenda papuchi wa Taifa,
__Mshana Jr nampa Tuzo ya mchawi wa Taifa
Kazi kwako kutoa tuzo.
Cc_Zero IQ