Tuzo za TMA: Dancer Bora wa kike huyu hapa

Tuzo za TMA: Dancer Bora wa kike huyu hapa

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Mtoto Malaika
mtoto nyigu

jamani anafaa au hafai?


FB_IMG_1682852149053.jpg
 
Huyo Binti mpambanaji sana...

BAHATI MBAYA sana aliingia kwenye mziki.

Alipoteza wazazi akiwa mdogo sana
 
Anajua halafu nimeona anajua kujieleza zimo zimo
Kichwani, maana wa carrier hiyo wengi tunajuaga akiki zao
 
Back
Top Bottom