Ilikuaje mzungu nuhu akamzaa kaanani mweusi. Yaani kibaiolojia haiji kabisa.UJINGA WOTE ULIANZIA HAPA ππΎππΎππΎ, WATU WEUSI TUNAPENDA UJINGA. Kaanani alikua nigga.
Mwanzo 9:24-28
24 Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.
25 Akasema,Na alaaniwe Kaanani;Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake.
26 Akasema,Na atukuzwe Bwana,Mungu wa Shemu;Na kaanani awe mtumwa wake.
27 Mungu akamnafisishe Yafethi,Na akae katika hema za Shemu; Na kaanani awe mtumwa wake.
28 Na Nuhu akaishi baada ya ile gharika miaka mia tatu na hamsini.
inatokea tu na mbilikimo walitokea vip unafikiri ?Ilikuaje mzungu nuhu akamzaa kaanani mweusi. Yaani kibaiolojia haiji kabisa.
Na pia haiwezekani dunia yote kujazwa maji yaani kisayansi ni ngumu sana.
Genetics. Umewahi kuona wapi Kunguru kataga Njiwa au Punda kazaa Swala? Mtoto atarithi moja kwa moja kutoka kwa wazazi. Nothing comes from nothing.Mbona sasaivi haitokei kwa mtu mweusi kuzaliwa n mtu mwepe Surya
Hizo ni fairly tales mzee, hakuna facts hapo.Ilikuaje mzungu nuhu akamzaa kaanani mweusi. Yaani kibaiolojia haiji kabisa.
Na pia haiwezekani dunia yote kujazwa maji yaani kisayansi ni ngumu sana.