Tuzungumze kianamume

Tuzungumze kianamume

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Habarini na pongezi kwa kila mmoja na majukumu yake.

Hivi mtu kama mwana mme unapotaka kuanzisha mahusiano na mtu ( si yakimapenzi ) nazungumzia men to men relationship hapo kwako wewe unalenga nini juu ya hayo mahusiano.

Je, Huwa unalenga urafiki, network ya biashara au we uwa unaanzisha mahusiano kwa malengo gani ( men to men)

Nimefikilia nikaona wanaume wengi huangushwa kibiashara, kijamii na watu tunaowaona na kuchagua kuwa marafiki.

Kwangu Mimi naona haijalishi mmefahamiana kea mda gani Ila network ni bora kuliko urafiki.

Sijui wewe unaonaje mtazamo wa kitu kinaitwa urafiki.
 
Wanaume wengi hua tunaanziasha Kwa ajili ya kunyandua tu , mambo mengine hufuta badae
 
Men to men mhhh huo pia nihusiano???
Mimi nachojua urafiki unakuja automatic auanzishwi,mapenzi ndo yanaanzishwa ila mda mwingine yanakuja automatically unajikuta mnapendana bila kutongozana.
 
Back
Top Bottom