Biblia gani hiyo ndugu? Acha utani.Na yule mke wa farisayo wa mawinguni akaondoka na kuacha fahari za mumewe na kwenda zake kuolewa na msamaria masikini.
Wakazi wa galilaya wakastaajabu jambo hilo huku wakijiuliza ' limekuwaje jambo hilo? Mwanamke wa kiyahudi kwenda kuolewa na msamaria masikini. Je, haikufaa yeye kutunza heshima ya mume wake?'
Ndipo mwanamke yule akapita katikati yao na kusema kwa sauti kuu "niacheni na mission in town wangu".
Matendo ya mission in town 4:2-3
Bila shaka utakua umetendwa weweNa yule mke wa farisayo wa mawinguni akaondoka na kuacha fahari za mumewe na kwenda zake kuolewa na msamaria masikini.