Tuzungumzie alichofanya Ramos kwa Salah

Minawashangaa mnaomlaumu Ramos kua hana fairplay ,kwaiyo Salah wakati yy ndoanaanza kulock mkono wa Ramos fairplay hakuijua???
 
Watu tunaoijua vema Madrid ile halftime tu.Nikabet kwa kuipa ushindi wa magoli matatu,Nikatupia laki 5 ,Odds7,mwisho wa mchezo 3-1 pay out 3,500,000.Mwisho ninakombe na faida ya M.3.Kilichoiponza Liver ni wachezaji wa hakiba hawana wala si Salaah kuumia nilishasema Madrid wakionaga ilendoo mezani na ukapigwa ule wimbo wa Uefa uwanachanganikiwa.Mnasema kocha alikua Malibu km akuona je nawasaidiz wake hawakuona!Bas km nikad angeanza kupewa Salaah maana ndoalianza kulock mkono wa Ramos.
 
Kwa experience zangu Ramos sio mchezaji wa maana kabisa. Ni mara ngapi huwa anamchezeaga Messi rafu za makusudi kabisa.
Kwahiyo elewa uchezaji wa Ramos sio wa kistaarabu.

Ni ms**** Tu huyu. Anataka kuharibu na kuumiza wachezaji.
We unasema sio wa maana wakati kila mwaka ndo anatajwa kuwa beki bora wa Dunia![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mane na yy hajui technique za rafu, rafu gani ile...kufika tu na kumsukuma tena mbele ya refa

Mane alirusha ngumi. Angalia uzuri ile clip utaona. Alimzaba na right hook ya upande wa pili wa camera sio kumsukuma... ila hilo haliongelewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…