Nafaka gani sasa ,specifymimi ni mfanyabiashara wa Nafaka kwa aliyepo mikoani anaweza kuleta mali Dar tufanye biashara
Yet umeshindwa kuzitaja hapaFursa ni nyingi kila mahali
Mimi nipo korogweKorogwe , Tanga :
Kununua gunia la pumba ya mahindi Kijijini ( umbali wa kilomita 15 hadi 30 ), gharama yake ni 15,000/=
Guta linabeba gunia 10 ambayo ni sawa na Tsh 150,000. Usafiri wa guta kwa gunia 10 ni 10,000/=.
Korogwe Mjini pumba imesimamia 22 hadi 23,000/= kwa gunia moja la debe 7.
Kuna maisha hapo.
Mm nafanya hii project, lakini pia nasagisha na kukoboa. Nina mashine.
Mpesa,stationary,nguo,vyakula hasa kiepe.Nipo maeneo ya chuo ni biashara gani inatoka
Shida sio ubinafsi , shida ni kupenda kulaum bila hata sababu.Wabongo hua hatupend kupeana madili ili tufanikiwe sote..hii nafsi itatusumbua San...
Soko lake pa kuuzia hizo nguzo ni wapi?Shida sio ubinafsi , shida ni kupenda kulaum bila hata sababu.
Iringa &Njombe , Kuna viwanda vya nguzo.
Na marine boards.
Kwa nguzo : 20000tsh@manunuzi.
1000tsh@kukata
500tsh kuchubua
Kuskidi Toka shambani 6000 kwa tractor
Jumla ndogo 27500 ×100= 2,750,000tsh
Kupakia @5000×100=500,000
Ushuru@5%=1000×100=100,000
Kuhakiki uzito 1,5000
Kupunguza ulefu 50,000
Kukodi gari 1,200,000
Jumla 1,8650,000+2,750,000=5,200,000
Mauzo 30×120,000=3,600,000
70×70,000 =4,900,000
Jumla. =Tsh8,500'000
Faida =3,200,000 -800,000 gharama nyinginezo , za uendeshaji
Guest , usafiri posho zahapa na pale hutokosa (2 m)
Changamoto.
a:Uaminifu kwenye kazi hiii kwa baazi yatu ni mdogo mno , ukikutana na mutu mbaya unauziwa Bora nguzo na sio nguzo Bora, ukizifikisha kiwandani utapata reject hazitonunuliwa.
Utaishia kukatika mtaji.
b:Bei zinabadilika badilika zinaweza kupanda aukushuka mda wowote.
c:Kuna baszi ya masoko huchelewesha malipo.
Mwenye maswali atajibiwa yasiwe nje ya mada hii ya nguzo na masoko yake.
Kuhusu plywood Au marine board , nitarejea.
100pcs , ni wastani wa trip 1. Hiyo ikifika kiwandani wanachukua zote. (Kama zinafaa) hata ukiweza kuandaa 1000 trip10 zote watachukua kwasiku 1.Soko lake pa kuuzia hizo nguzo ni wapi?
Kwa tathmini yako unadhani nguzo 100 zinaweza kuuzwa na kuisha baada ya muda gani?
PC 100 unazikusanya kwa mda gani?100pcs , ni wastani wa trip 1. Hiyo ikifika kiwandani wanachukua zote. (Kama zinafaa) hata ukiweza kuandaa 1000 trip10 zote watachukua kwasiku 1.
Usipo kutana na vikwazoPC 100 unazikusanya kwa mda gani?
Kaka umenioba inbox nimekuja..nakuomba inbox kaka
Uono auTanga mjini au kipumbwi pangani au mkinga kuna fursa kubwa ya dagaa nyama ukitaka kuchemsha na kuuza au kununua na kuuza ni wewe tu dagaa hawa wanasoko sehemu yoyote ile ni watamu Sana kazi kwenu
Nani mtoa mada au mtoa commentMkuu kuna ujumbe wako PM