75% ya choo kikubwa ni maji. Kuepuka kujikamua na choo kigumu kunywa maji.
Figo na moyo ni mjomba na shangazi au kaka na dadaUgonjwa wa figo kama kisukari na cancer kwa asilimia kubwa yanakua triggered na lifestyle and eating habits.
Figo ni kiungo muhimu sana katika mwili wa mnyama na binadamu kwa kufanya kazi nyingi ikiwemo kutoa taka mwili n.k
Figo hukumbwa na matatizo mbalimbali ambazo huathiri utendaji wake kazi.
Leo ningepende tushirikishane mambo kadhaa ambayo hupelekea kiungo hiki muhimu kisifanye kaz yake ipasavyo .kwa mtu yeyote ambae alishapata tatizo hili tushirikishane na jinsi alivyokabiliana nalo .
Nianze kwa tatizo ambalo lilinikuta mm miaka miwili iliyopita nalo ni
Mawe katika figo(kidney stones)
Hili ni tatzo la figo ambapo hua inatokea inakua na vijimawe .ambavyo hupelekea maumivu makali yasio kifani kuelezea na ikiwezekana ukakojoa mpaka damu .na huwez vumilia mpaka uchomwe sindano za maumivu kwan vidonge vya maumivu mda mwingine hua havifanyi kazi.
Ni kwann nilipata hili tatzo?
-nilikua napenda sanaa kula chumvi nyingi
-nilikua nakula sanaa dagaa (hasa Shule,chuo)
-unywaji wangu wa maji ulikua kiasi
-nilikua nakunywa bia japo sio Sana
-nilikua navuja sana jasho hasa baada ya kuhamia dar(mkoa wenye joto Kali)
N.b babangu Alikua na tatzo la figo1 (sasa sijui kama ni la kirithi pia)
Jinsi nilivyokabiliana nalo
-kumwona daktari na kupigwa ultrasound (nilikutwa na mawe na maji kwenye figo (hydronephrosis)
-nilipewa dawa za kulainisha mawe
-nilianza kunywa maji mengi sanaa kusaidia kusukuma mawe yaliyokua yanashuka yakiambatana na maumivu makali mno
Hitimisho
- Afya ya figo ni muhimu sanaa na ni moja ya tatizo linalo ua watu wengi sanaa life style zetu zinachangia sanaa kwenye tatzo hili
Sent using Jamii Forums mobile app
dagaa nazo hazifai au zinasababishaje magonjwa ya figo.
hilo nimesikia leo maana ukinikataza kula dagaa ni sawa na kumwambia mwanasiasa asifanye mkutano wa hadhara.
Pamoja na hayo mawe ya kwenye dagaa ikitokea umeyala yatakaa kwenye appendicitis hayaingii kwenye mzungu wa damu, Kidney stones zinasababishwa na metabolic waste zinazozunguka kwenye damu ambazo hutoka kama mkojo kwa msaada wa maji.Dagaa zina michanga na vijimawe vidogo vidogo solution ni kuzisafisha vizuri kabla ya kupika ili kuhakikisha hazina mchanga au vijimawe.
Pia vyakula kama siagi, samli na maziwa vinadaiwa kuongeza uwezekano wa kuwa na kidney stones.
Kunywa maji mengi ni muhimu sana ili kuepusha hili tatizo la kidney stones.
Tule na tunywe nini na tusile na tusinywe nini?Ugonjwa wa figo kama kisukari na cancer kwa asilimia kubwa yanakua triggered na lifestyle and eating habits.
Pamoja na hayo mawe ya kwenye dagaa ikitokea umeyala yatakaa kwenye appendicitis hayaingii kwenye mzungu wa damu, Kidney stones zinasababishwa na metabolic waste zinazozunguka kwenye damu ambazo hutoka kama mkojo kwa msaada wa maji.
Mwili unajiregulate wenyewe lakini ukishafika 50+ inabidi uwe muangalifu. Wengi katika umri huu hasa kama uliutendea rough ujanaTule na tunywe nini na tusile na tusinywe nini?
Dagaa wana kiasi kikubwa cha Calcium na Vitamin D ambavyo vimekuwa visababishi vya kidney stones endapo ulaji wake utazidi.dagaa nazo hazifai au zinasababishaje magonjwa ya figo.
hilo nimesikia leo maana ukinikataza kula dagaa ni sawa na kumwambia mwanasiasa asifanye mkutano wa hadhara.
Hatari sana mkuu, kifupi jua tu ile chumvi inayoingia kinywani kabla haijayeyuka haiyeyuki tena ndio maana husababisha mawe kwa figo.Mkuu niko mkoa wenye barid ila napenda sana chumvi yani mimi chakula lazima niongeze chumvi hata kabla sijaonja na chumvi ninayoweka mimi watu wengi wakionja huwa hawawez kula, nmeshazoea ila maji nakunywa wastani wa 2lt per day asubui had jion
Mi nahisi kamaanisha zile dagaa ambazo huwa na mchanga pamoja na mawe mara nyingi ili mtu uzipike inabidi utoe vichwa na uoshe na maji motodagaa nazo hazifai au zinasababishaje magonjwa ya figo.
hilo nimesikia leo maana ukinikataza kula dagaa ni sawa na kumwambia mwanasiasa asifanye mkutano wa hadhara.
Tuko pamojaMimi hata lita nne huwa nafikisha,nakunywa maji kama burudani yani.