Hapo kwenye Samli nimejikuta naogopa maana vyakula vyangu vingi naweka Samli.
mkuu nayo maji ukinywa mengi bila utaratibu tatizo pia...wanavyosema kitaalam figo inauwezo wa kufanyia kazi lita moja kwa saa, na pia unywaji mbovu wa maji unaflash virutubisho muhim kwenye mwili...issue za afya ni very complicated... unawez kuwa chizi ukichukulia serious sana...hahahaaa!Let me start doing this,huwa nakunywa maji mengi sana ninapoamka asubuhi,ila hii glass ya usiku huwa ninaikwepa kwa kuogopa kuamka usiku..
wanasema sukari nayo ikizidi mwilin siyo nzuri kwa afya ya ngozi yako...ndiyo mwanzo wa stretch mark.. na uzeeTunaokunywa juice ya miwa tunaonekana wajinga.
Mimi kila siku lazma ninywe glasi ya 1,000.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha... Shauri ako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] u made my day...!leo umeniweza
Kuna kitu behind curtains, ila ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari wake kumbuka.Hebu tudadavulie kilichosababisha figo za Ruge kufeli na kwa nini zimuue licha ya kutibiwa hosptal kubwakubwa ndani na nje ya nchi.. ina maana huu ugonjwa hautibiki? Au kuna mengine nyuma ya paziaaa?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Precisely, excess water isn't good either. Unakuta mtu anakunywa 5l kwa siku, au 2l ndani ya saa moja, hajui ana flash minerals muhimu bila kujua, lakini pia figo zina limits katika kufanya kazi.mkuu nayo maji ukinywa mengi bila utaratibu tatizo pia...wanavyosema kitaalam figo inauwezo wa kufanyia kazi lita moja kwa saa, na pia unywaji mbovu wa maji unaflash virutubisho muhim kwenye mwili...issue za afya ni very complicated... unawez kuwa chizi ukichukulia serious sana...hahahaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa unafikia hali ya mkojo mweupee,means sumu chache mwilini kwahiyo figo inapumua ,haitumii nguvu nyingi sana,na yenyewe unakuwa kama unaisafisha,wanaosema unaflash madini ,sio kila madini yanayoingia mwilini lazima yatumike yote,maji hayajawahi kuwa na sifa mbaya mwilini,ni tiba na kinga ya uhakika sana.Precisely, excess water isn't good either. Unakuta mtu anakunywa 5l kwa siku, au 2l ndani ya saa moja, hajui ana flash minerals muhimu bila kujua, lakini pia figo zina limits katika kufanya kazi.
Asante mkuu BAK, Niliacha kutumia mafuta ya Alizeti kuogopa presha nikajiunga kutumia Samli hii nayo ina madhara 🙆♀️🙆♀️Nataka kujalibu mafuta ya ZaituniUkiweza achana nayo. Mimi niliacha kutumia kitambo sasa ila siagi na maziwa kama KAWA na maji nakunywa kwa wingi tu. Nilisoma mahali pia kwamba ukwaju pia unasaidia sana kusafisha kidney.
Pamoja na hayo mawe ya kwenye dagaa ikitokea umeyala yatakaa kwenye appendicitis hayaingii kwenye mzungu wa damu, Kidney stones zinasababishwa na metabolic waste zinazozunguka kwenye damu ambazo hutoka kama mkojo kwa msaada wa maji.
Hypertension ndio nini? Fafanua kidogo tupo darasani .Moyo na figo hufanya kazi pamoja, hypetention ina over work kidneys.
Ukimsikiliza shetani ndo umekwenda na maji hivoo[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]imagine unakata dompo 2 ila maji unashindwa hahaha jamqn shetan atukome