Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nilikuwa namsikiliza Ahmed Ally wa Simba akihojiwa clouds FM. Jamaa ana kithembe kikali sana. Anasema Thimba live bila chenga.
Hapo akaja mtu anatangaza Ndondo Cup. Anasema watacheza "Kinethi" na wanadhaminiwa na "Madhiwa ya athathi."
Sijakaa sawa akatokea Mbwiga, anasema, "Au thio."
Juzi kati nimemsikia Saraphina wa nipo titi. Anasema "Tho....tho..."
Sasa kithembe ni tatizo. Kinatokana na nini? Hivi kina tiba yake? Makocha wa usemi wanaweza kumrekebisha mtu hili?
Ni sahihi kimaadili kumnyima mtu kazi, labda ya utangazaji, usemaji au ualimu kwasababu ya kithembe?