DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Mwaka 2003 ndege ya shirika la serikali ya marekani (AMERICAN AIRLINES) boeing 727 ilikua imekwama (au tuseme imetelekezwa) nchini Angola (Luanda international airport) kwa kipindi cha miaka 4 na miez 7 ikisubiri matengenezo makubwa.
Katika Hali ya kushangaza,
wanaume wawili (Ben padila (mmarekani) na John Mutantu(Mcongomani) wote wakiwa Ni mafundi mechanics pale airport. Walionekana kwenye CCTV camera wakiingia kwenye ndege hiyo na kuiwasha.
Bila kuomba ruhusa wala kutoa taarifa yoyote kwenye traffic control, waliitoa ndege iyo kwenye tarmac na kuitax kwenye runway, kisha mashuhuda waliona ndege iyo inapaa juu moja kwa Moja wasijue inaelekea wapi.
Traffic controller aliekua zamu alijaribu kuiangalia kwenye rada hakufanikiwa kuiona, akatoa taarifa kwenye mamlaka za Angola. Nao wakajaribu kuitafuta, waliposhindwa wakazitaarifu mamlaka za marekani.
Marekani nao waliposhindwa, wakashirikisha mashirika mbalimbali ya kimataifa kuitafuta ndege iyo lakini hawakufanikiwa kuipata.
Mpaka leo Hii, Mustakabali mzima wa BEN PADILA, JOHN MUTANTU pamoja na Ndege iyo waliyoiba haujawai kujulikana.
Hamna anaejua hao jamaa wako hai au walishakufa, ndege waliyoiba waliiuza, waliikata spea, ilipata ajali wote na wakafa au vipi? Kiukweli KILA MTU HAJUI
Nawasilisha😔🙏