TV4Sale Tv 32 inch mpya, original na waranty ya kutosha kwa 295,000 tu (umeme wa kawaida na wa sola)

edgar william clemence

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
233
Reaction score
218
Kwa wakazi wa Dar tunakuletea BURE hadi ulipo kisha ndio utalipia.

Kwa wakazi wa mkoani mtumie hela ndugu au amaa yako aje ofisini kwetu Kinondoni Mwanamboka alipie kisha akutumie wewe au tuma hela ya TV na ya usafirishaji tukutumie sisi.

Tv zote ni mpya na zina waranty ya mwaka mmoja na miezii 6 tu, inatumia umeme wa kawaida na wa solar pia. Sifa nyingine ni kua ina picha nzuri sana kwa watakaoweza kuja oisin mnaweza kuja kujionea.

Piga simu 0658184797 au 0752184797 Tupo KInondoni Mwanamboka pembeni ya kituo cha mwendokasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtumie hela ndugu yako aliepo huku aje aichukue na akutumie ww au njia ya pili ni utume hela ya bidhaa plus ya usafirishaji tukutumie sisi. Tupo Kinondoni Mwanamboka pemben ya kituo cha mwendokas mwanamboka upande wa barabara ambao magari yanaenda Magomen yakitokea moroco
Mimi nipo mbeya napataje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa 32 inch mnazo brand zipi? Na brand zote bei ni hiyo hiyo 295000?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…