M Mbishi 4 real JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 640 Reaction score 651 Mar 13, 2023 #1 Nauza TV aina ya Hisense LED Flameless kwa bei ya Tshs 270,000 TV hii imetumika miezi 4 tu ba bado ina boksi lake. Nicheki kwenye namba 0764368588 tufanye biashara Napatikana Mbezi jirani kabisa na Stand ya Mabasi ya mkoani ya Magufuli Terminal
Nauza TV aina ya Hisense LED Flameless kwa bei ya Tshs 270,000 TV hii imetumika miezi 4 tu ba bado ina boksi lake. Nicheki kwenye namba 0764368588 tufanye biashara Napatikana Mbezi jirani kabisa na Stand ya Mabasi ya mkoani ya Magufuli Terminal
Njalaliko JF-Expert Member Joined May 9, 2016 Posts 310 Reaction score 896 Mar 13, 2023 #2 Inch ngapi? Picha? Uko wapi?
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,221 Reaction score 22,496 Mar 13, 2023 #3 Inch ngapi, picha ziko wapi? Au nawe ni kibaka punga mkataa ndoa?
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 6,438 Reaction score 10,180 Mar 15, 2023 #4 Medecin said: Inch ngapi, picha ziko wapi? Au nawe ni kibaka punga mkataa ndoa? Click to expand... Wakataa ndoa tuheshimiwe tafadhali.
Medecin said: Inch ngapi, picha ziko wapi? Au nawe ni kibaka punga mkataa ndoa? Click to expand... Wakataa ndoa tuheshimiwe tafadhali.