Tunaangalia digital tv kwa umeme upi? Au ndio maisha bora kwa kila mtanzania.
world cup inakuja,inabidi tuone superb crystal clear broadcast ya HD kama tukikosa the real thing 3D-broadcast,maanake hii 3-D ni kama uko ndani ya pitch la football.
Nimawazo bora sana. Lakini ni wangapi wana 1080P.
Naona itabidi watu wavae miwani kama wapo kwenye AVATAR vile
huu huu wa mgao ndugu yangu tutafanyaje sasa.
Mmeshaenda kununua decoder ya TBC startimes lakini?, au nyie hamko Bongo?. Wamesema World cup itaonyeshwa kwa kupitia TBC 2 peke yake, ambayo itapatikana kupitia king'amuzi tu. Duka la Startimes liko mkabala na Polisi Msimbazi, wahi mapema.
Waaarabu, wanatumia wind trubine kugenerate umeme. Sisi tunatumia maji ambayo hatuna.
Upepo upo kibao lakini ndio hivyo tena tunapo changanya siasa na uongozi. Tunabakia na Richmond.
Nafikiri ingekuwa vyema kuhakikisha kuwa tuna UMEME twenty four seven, tuna maji twenty four seven. Hayo ni mahitaji muhimu sana kwa binadamu.
Mmeshaenda kununua decoder ya TBC startimes lakini?, au nyie hamko Bongo?. Wamesema World cup itaonyeshwa kwa kupitia TBC 2 peke yake, ambayo itapatikana kupitia king'amuzi tu. Duka la Startimes liko mkabala na Polisi Msimbazi, wahi mapema.
Wanachaji 9,000/= tu kwa mwezi, angalau inalipa. Uzuri ni kwamba huitaji kufunga dish, ni antena yako hiyo hiyo unayotumia.nasikia na dstv nao wataonyesha na kama umeshachukua wanachaji shilingi ngapi kwa mwezi mkuu
Niliwahi kusikia Mzee Tido akiongelea digital, nadhani kwa TBC1 wanatarajia kuanza mwaka 2012 kama watatimiza malengo yao. Kwa wengine sijui ila best ikianza tutalipia kama tunavyonunua prepaid. Ni mwendo wa vocha tu kama itakuwa kama mamtoni!
ndugu yangu Max hilo la umeme nawaachia wataalam,ila kama unaweza kunisaidia how much does it cost to build one wind turbine and how many wind turbines do we need to light up a city like dar?
Mmeshaenda kununua decoder ya TBC startimes lakini?, au nyie hamko Bongo?. Wamesema World cup itaonyeshwa kwa kupitia TBC 2 peke yake, ambayo itapatikana kupitia king'amuzi tu. Duka la Startimes liko mkabala na Polisi Msimbazi, wahi mapema.
We unazungumzia 2012!, wenzio TBC 2 inaanza April ikiwa digital. Ndio maana wanakwambia ukanunue decoder, wameingia ubia na hii kampuni ya kichina inayoitwa Startimes ndio watakaorusha matangazo yao. Gharama ni kama nilivyokuandia huko juu, hakuna cha bure nchi hii.Niliwahi kusikia Mzee Tido akiongelea digital, nadhani kwa TBC1 wanatarajia kuanza mwaka 2012 kama watatimiza malengo yao. Kwa wengine sijui ila best ikianza tutalipia kama tunavyonunua prepaid. Ni mwendo wa vocha tu kama itakuwa kama mamtoni!