hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
Nadhani kuna tatizo mahali..haiwezekaniNi mwezi sasa tangia nianze kuifatilia hii chanel ya tv E ilopo dstv....naona ni mpya mana kila time wanaplay music ila kinachonshangaza mimi ni kuwa sijawaiona ata siku moja nyimbo yoyote ile ya wcb ata kwa bahati mbaya alafu wanapga na nyimbo za Nigeria.....watz 2badilike hii station cjui ya nani ila haya mabeef na chuki zisifike mbali kiasi hichi......
Hahahaha siitaji kufungua aisee nshalipia dstvFungua tv station yako mkuu upige nyimbo za wcb
Sent from my 1201 using JamiiForums mobile app
Mkuu fanya uchukue siku nzma ata kesho ukiweza...ukiiona nyimbo yyote ya wcb fanya kuniprove me wrong[/QUOTE][QUOTE="Iceman 3D, post: 22151795, member: 385104]kwa hiyo msha anza ku wapangia wenye vituo nyimbo za kupiga?
WCB na E tv/E fm wako fresh tuu. mimi nimewahi ona wakipiga nyimbo za WCB mara kibao tu
Ofcz kama jana walipiga kidela kwenye ngoma zilizotambaMmeshaanza malalamiko yenu vipi za Ali kiba wanapiga?
na juzi mondi alikuwepo kwenye uhondokwa hiyo msha anza ku wapangia wenye vituo nyimbo za kupiga?
WCB na E tv/E fm wako fresh tuu. mimi nimewahi ona wakipiga nyimbo za WCB mara kibao tu
ndio na mimi nashanga hapo sasana juzi mondi alikuwepo kwenye uhondo
Mkuu nahitaji tu mshahidi wa yeyote anayeifuatilia hii channel aje kujiunga mkono....mana wana iyo top 30 hamna ata nyimbo moja ya wcb ila nyimbo ya msaga sumu mashine na if ya davido zipo hahaha ## tz no uzalendo..na juzi mondi alikuwepo kwenye uhondo
wanapiga mbona
walipiga nyimbo ya mond wiki kama mbili zilizopita lakin sijwahi kuona zaidi ya hiyoMkuu umeangalia karibuni??