Tv e wacheza ngoma ya harmonize ft Diamond ~ Kwangaru.

Tv e wacheza ngoma ya harmonize ft Diamond ~ Kwangaru.

Profesa wa Maliasili

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
632
Reaction score
1,910
Kwa mara ya kwanza baada ya kutopiga ngoma za Wcb kwa mda mrefu Tv E inayosimamiwa na majizo saa 11 jioni ya leo imeonesha hii video ya konde boy, hii ndio kumaanisha wameyamaliza bifu zao au Dj wa zamu kajisahau?.
 
Wewe ndio sio mfuatiliaji wa haya mambo, hakujawahi kutokea hilo bifu na ngoma zao zinachezwa sana hapo.
 
TV E mbna wanaziwasha sana tu ngoma za wcb hawaajanza leo wala juzi.
 
uzushi wewe utakuwa si mfatiliaji wa TV-E labda unataka kila ukiangalia ukutane na nyimbo za WCB tuuu
 
Kwa mara ya kwanza baada ya kutopiga ngoma za Wcb kwa mda mrefu Tv E inayosimamiwa na majizo saa 11 jioni ya leo imeonesha hii video ya konde boy, hii ndio kumaanisha wameyamaliza bifu zao au Dj wa zamu kajisahau?.
Duuuhhhh mzeee mbona wanazipiga sana.
Au ulikuwa jela
Nunua DSTV baba lao.
 
siku hizi vijana wa dar na watoto wa mama mumeamuwa kuhamisha vinyuzi vyenu vya facebk hapa JF
 
Mleta mada sijui alitaka kusema nini hapa....
Au ndo kukosa la kuandika..!!?

Au jamaa ulikua likizo nini kuangalia TV ndo umepata bahati ya kuangalia wapi sijui...

TV E mbn fresh tuu na WCB's songs
 
Back
Top Bottom