Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuatilia TBC 1 kaka jana walisema wanaweza kuonesha mechi hiyo....
Itakuwa saa ngapi za huku?Fuatilia TBC 1 kaka jana walisema wanaweza kuonesha mechi hiyo....
Ahsante kwa taarifa.E fm 93.7 Dar es Salaam...!
Saa 3 : 00 usiku.
Azam tv wanaonesha kupitia chenel yake ya Azam two.....Naomba anayejua television itakayorusha mechi ya yanga leo anijuze tafadhali.
Azam tv wamenunua haki ya kurusha matangazo ya live game kati ya etoile sportive du sahel vs yanga.Walivyokuja huku bongo kama walizuiliwa waandishi wa habari vipi hao Azam tv two na hiyo TBC1 watakubaliwa au ndo wamenunua haki za matangazo?
vipi mkuu mkolaj hujaenda na timu ili mimi niendelee kufuatilia updates hapa hapa JF.
Ni Chanel gan itaonesha huu mpira.
Hapaaa:thumbdown: