TV gani itaonyesha live mechi ya Yanga na Waarabu leo?

mge

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
558
Reaction score
179
Naomba anayejua television itakayorusha mechi ya yanga leo anijuze tafadhali.
 
E fm 93.7 Dar es Salaam...!
Saa 3 : 00 usiku.
 
Redio One naowanaonyesha
 
Kwa ubora na uhalisi wake.
Karibuni Sana AZAM TV Two Burudani kwa wote.
Sasa kama huna King`amuzi mtafute jirani yako,lakini usimtongoze mkewe tu,siku ya pili atakutimua
 
Walivyokuja huku bongo kama walizuiliwa waandishi wa habari vipi hao Azam tv two na hiyo TBC1 watakubaliwa au ndo wamenunua haki za matangazo?
vipi mkuu mkolaj hujaenda na timu ili mimi niendelee kufuatilia updates hapa hapa JF.
 
Last edited by a moderator:

Azam tv wamenunua haki ya kurusha matangazo ya live game kati ya etoile sportive du sahel vs yanga.
Mkuu sijaenda na timu lakin utapata kila kitakachojiri kutoka huko souse Tunisia.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…