TV gani itaonyesha live mechi ya Yanga na Waarabu leo?

Nina furaha sana ndo maana nimeanzish hi thread maana najua Yanga leo ndo anatolewa rasm arud heshima irudi tz.asante kwa mlioniambia wanaonesha muda gan pole kwa wale waliojua mm mwenzao
 
Kwani matokeo ya awali yalikuwaje.mana isije kuwa mnasubiri jambo ambalo kimoyomoyo una hakika haliwezi kutokea
 
Kumbe ww ni viti maalum sc.wazee wa kutafuta nafasi ya pili kwa miaka mitatu?
Nina furaha sana ndo maana nimeanzish hi thread maana najua Yanga leo ndo anatolewa rasm arud heshima irudi tz.asante kwa mlioniambia wanaonesha muda gan pole kwa wale waliojua mm mwenzao
 
Ninavyojua Yanga haichezi na Tunisia, kwa hiyo hiyo mechi haipo. Ila leo Yanga inacheza na Ettoeil du Sahel ya Tunisia

Ilimrad umeelewa mkuu na mm nilikuwa namaanisha kama ulivyosema
 
hata Hitachi inaonesha. ni Tv yoyote ile ilimradi iwe imeunganishwa na decoder ambayo itarusha huo mchezo hewani kwa kifurushi husika.
 
Nina furaha sana ndo maana nimeanzish hi thread maana najua Yanga leo ndo anatolewa rasm arud heshima irudi tz.asante kwa mlioniambia wanaonesha muda gan pole kwa wale waliojua mm mwenzao

YANGA hawawezi kuwa wenzake na mikia,hii yanga wenzake ni TP MAZEMBE,AL AHAL,ETO EL SAIL, na zingne zinazoshriki michuano ya kimataifa
 
mimi nasema yanga 'wapigwe tu' maana kama watu wanatoa sare nyumbani ugenini ni kupigwa tu hakuna namna!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…