Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 184
- 274
Nakazia hapaHisense "43"
Ubora wa picha unaridhisha mkuu?Hisense "43"
Wakuu msaada wenu hapa..
Nataka nivute tv ya bei ndogo naomba ushauri wenu..ipi nitapata kwa bajeti hiyo na itakuwa na ubora kiasi wa kuridhish
Siongei kiunafiki au sifanyi udalali, kwa hio pesa daka tv yako safi unaweza pata inch 42mpka 43 second hand toka Uk na dubai kutoka kwa bwana abdalla Rashid na hutojutia pesa yako kaka nakushaur fanya hivoTCL inapigiwa promo kuliko Hisense, mwisho wa siku wewe ndo utachagua.
Haswaa hio ya chini ni lg na ya juu ni philips ,made in polandTV ni LG.
BRAND YA CCM UJAONA KARIAKO
Sorry nipo out of topicNa hii nimeinunua last year desember mnyama lg bado ananitendea haki.Maamuzi kwako wala siongezi au kupunguza neno
Kwani weww huwezi toa muongozo ?
Natumia charge 5 inanitoshaSorry nipo out of topic
Active speaker (Subwoofer ) hapo unatumia ipi mkuu au ni hiyo flip 5 Jbl