TV4Sale TV Hisense inch 43 inauzwa Arusha

TV4Sale TV Hisense inch 43 inauzwa Arusha

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,370
Reaction score
3,962
Kama kichwa kisemavyo,TV ni nzima kabisa ila tu haina remote, bei ni 650,000.
0713064992

20221208_153334.jpg
 
Wewe tuliza mshono,kwani bei inayosemwa ndio inayouziwa?
 
Kama kichwa kisemavyo,TV ni nzima kabisa ila tu haina remote, bei ni 650,000.
0713064992

View attachment 2439580
mkuu fanya utafiti kabla ya kupost bei tv inch 43 tena panasonic sio aborder, hisence,boss naipata mpyaa kwa laki tano tu kwa huyu jamaa

[emoji1][emoji1][emoji1]Wauzie hao macharii wanyasa wanyasa au ww uliuziwa million moja nn....?
 
Back
Top Bottom