INAUZWA TV Hisense led inch 32 inauzwa 260,000

INAUZWA TV Hisense led inch 32 inauzwa 260,000

Sensei Tai

Senior Member
Joined
May 26, 2022
Posts
168
Reaction score
466
Nauza TV HIsense Inch 32 LED kwa bei ya Tshs 260,000

TV imetumika miezi 4 na ina boksi lake, haijawahi kufunguliwa na fundi wa aina yeyote.

Ukinunua TV hii ni sawa tu na unenunua dukani mana bado mpya.

Napatikana Mbezi Stand ya Magufuli na namba yangu ya simu ni 0719742225.

Nicheki tufanye biashara.




UPDATE
TV imeshauzwa

IMG_20230215_084527_610.jpg
IMG_20230215_123040_570.jpg
 
200,000 unapokea ili nimwagize mtu aje aichukue weekend hii? Usawa mgumu huu. Naitaka hiyo tv kwa ajili ya kaofisi kangu.
200,000 ni hela ila haina maslahi kiongozi.Kingine siwezi kusubiri hadi weekend. Nikipata mteja muda wowote kuanzia sasa nauza.
 
Back
Top Bottom