Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasafisha dhambiiiBei ya Tv 1.2m (Fixed Price)
Warranty 3yrs
Used : Imetumika 1 month mpaka sasa.
Milioni 1 na Laki Mbili (Bei haipungui)
ipo Dar es Salaam - Kibanda cha Mkaa.
View attachment 3002354
1m ipo njoo Pmsio kiburi,nimetahadharisha wale wateja wa "mwisho ngapi"
Naona umejiuliza swali 🤣🤣🤣1m ipo njoo Pm
Aina gani je ni Smartutachukua 55 ya kampuni ingine tofauti na hisense?
Mawinga hawa, ndio wanaharibu biashara za watuKuna kipindi nilikwenda show room moja kununua gari. Mwenye show room alikua hayupo wapo chawa. Nikauliza Bei ya gari, chawa kantajia Bei, nikamuuliza, je ikipoa? Kanijibu haishuki hata Mia. Nikamuambia chukua namba yangu Kati ya Leo na kesho Bei ikipoa nipigie hela iko mufuko ya shati. Chawa kakomaa, nikaenda zangu kijitonyama nikakuta gari Ile Ile Bei iko chini kwa milioni mbili halafu bado nikapozwa. Nikalipa fasta nikasubiri kesho yake nije kuchukua gari baada ya usajili.
Si ndio chawa kaanza kunitafuta na kuanza kushusha Bei. Nikamwambia I gave you 24 hrs. Time is up.
Nikawa napita Ile mitaa gari nikawa naiona haijapata mteja Hadi ikaanza kutu.
1m ipo njoo Pm