Ila sio za wiziBajeti yangu ni Tsh 500 000 hadi 550 000
Bawea kupata Tv ya inchi zaidi ya 40 kwa hiyo bei?
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteUtapata za ujambazi,kama si mbovu,nenda kwenye minada au kwa madalali wanaouza vitu vya finca,Sacco's