Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
Habari zenu ndugu zanguni wa Jamii forum,Nina tv yangu nyumbani aina ya Sing sung inchi 21 lakin nashangaa tangu juzi tv yangu haionyeshi kabisa ila kitaa cha kuonyesha on kinawaka je tatizo lake lipoje hapo nimechoka kukaa upweke bila Tv,Msaada wenu tafadhalini