OMUSILANGA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 384
- 227
waacheni wafu wawazike wafu wao..,,
THIS IS VERY STUPID kwanini wasifanye live coverage ya mkutano wa bunge? au LIVE coverage ya madini yetu yanavyoibwa
THIS IS VERY STUPID kwanini wasifanye live coverage ya mkutano wa bunge? au LIVE coverage ya madini yetu yanavyoibwa
dah kumbe z tru r.i.p. stvn kanumbaNilikuwa siamini,sasa ndo naamini
vipi mnashare uko wa matusi na Lusinde, kuna watu nawaheshimu sn pale Bungeni akiwamo Spika , Tafadhali acha kuwatusi na kuwadhalilisha wabunge kwa7bu ya mtu aliyefia ktk uzinziKANUMBA ni Bora zaidi ya vimeo vilivyo bungeni safi sana Clouds
Unataka kuwapangia kitu cha kutangaza unadhani ni media za taifa hizo?.THIS IS VERY STUPID kwanini wasifanye live coverage ya mkutano wa bunge? au LIVE coverage ya madini yetu yanavyoibwa
wewe mbona umechangia thread ya mfu?nawe ni mfu au ya so special
Unataka kuwapangia kitu cha kutangaza unadhani ni media za taifa hizo?.