My story
Member
- Jun 9, 2019
- 23
- 3
Apdate vyote vimeuzwa.
Kwa anayehitaji chumba na sebule
Nyumba ya kisasa yenye jiko, chumba self, luku na maji unajitegemea.
Kodi laki moja tu kwa mwezi
Nimebakiza miezi mitatu na siku kadhaa so utanirudishia miezi mitatu kamili
Karibuni sana
Eneo ilipo ni Nyegezi karibu na standi mpya