Fridge guard ipoje ?Endelea kutumia tu, tv zanzibar inchi 45 400000, startimes 78000, fridge guard 10000.
Chumba kipo maeneo gani mkuu kama hutojali naomba picha zake PmKing'amuzi na jiko la gesi liko full gesi vyote nataka 100k tu.
Mkuu hiko chumba na sebule ni maeneo gani kuna mdau wangu alikuwa anatafutaTv na kitanda bado vipo karibuni kwa wakazi wa mwaza
Unaweza kusema bei na malipo ni miezi mingapi?Kiko hapa nyegezi standi mpya
Ntakucheki mkuuMalipo ni laki moja kwa mwezi na nimebakiza miezi 3, malipo ni miezi 6 kila baada ya mkataba kuisha
King'amuzi peke yake sh.ngapi?!King'amuzi na jiko la gesi liko full gesi vyote nataka 100k tu.