Tv problem 📺 soving solution's please

Tv problem 📺 soving solution's please

Alexander McQueen

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
186
Reaction score
41
Habari za wakati wapendwa wa jf tv yangu tangu asubuhi inaniandikia "VOLTAGE IS LOW TV WILL TURN OFF sijajua tatizo ni nini ni zaidi ya massage 12 sasa
 
Habari za wakati wapendwa wa jf tv yangu tangu asubuhi inaniandikia "VOLTAGE IS LOW TV WILL TURN OFF sijajua tatizo ni nini ni zaidi ya massage 12 sasa
Habari boss ulifanikiwa kutatua tatizo hili ? Yangu pia toka asubuhi inanipa huo ujumbe
 
Umeme wako ilaelekea una matatizo, pima kuangalia kama upo karibia na 230V au jaribu kuweka zile mashine za kustabilize ila sio zile za digital (PowerGuard) hizi hazifai, tumia zile ambazo ni analog zinafanana kama hii picha
1725855407132.jpeg
2
 
Back
Top Bottom