Habari za wakati wapendwa wa jf tv yangu tangu asubuhi inaniandikia "VOLTAGE IS LOW TV WILL TURN OFF sijajua tatizo ni nini ni zaidi ya massage 12 sasa

Umeme wako ilaelekea una matatizo, pima kuangalia kama upo karibia na 230V au jaribu kuweka zile mashine za kustabilize ila sio zile za digital (PowerGuard) hizi hazifai, tumia zile ambazo ni analog zinafanana kama hii picha 2