Tv show na movies za HBO na HBO Max zinachochea mapenzi ya jinsia moja kwa kwenda mbele

Tv show na movies za HBO na HBO Max zinachochea mapenzi ya jinsia moja kwa kwenda mbele

I AM NO ONE

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2020
Posts
389
Reaction score
576
Habari wapenzi wa burudani nimeona nilete kwenu hii issue nimetizama movies nyingi kiasi zikiwemo za hbo huko mambo ni mazito kidogo yaani ukiwa unacheck movies zake inabidi uwe peke yako au uwe na demu wako maana sio kukaa na watoto maana unaeza aibika.

Huko ni mchezo wa wanaume kwa wanaume sasa hii inachochea ushoga sana katika jamii zetu hasa vijana chipukizi miaka 16-25 hapo ndo hatari inakuwa kubwa kwaio ushauri wangu tuwe makini na tv shows hizi tunazo ziangalia tusije kuacha flash za movies au external yako ina movies za namna ukaaacha home hukiu nyuma dogo anakuja anachek kumbea atakuja kuona mbona hta broo anaangaliaga hizi kwaio mwisho wa siku inaweza mfudisha ujinga baadhi ya hizo tv show ntaweka hapa kadhaa kama mfano

1) Game of thrones sasa hii ndo balaa watu wanaume wanakulana hatari wengi wanaijua hii:
2) Watchmen
3) Lovecratf Country
4) Raised by wolves

Na nyingine nyingi tu maombi yangu kwenu kabla hujapeleka movies zozote nyumbani kwanza angalia wewe ndo uipekela nyumbani na wengine wafurahi.
 
Yaaani hata kwenye cartoon wameweka hizo elements, farry tales pia zina hii kitu

ni kila sehemu ,mkuu
 
bila kusahau zile tamthilia/series zote za StarTimes, yaani ni lazima ukute lishoga walau mmoja
 
Habari wapenzi wa burudani nimeona nilete kwenu hii issue nimetizama movies nyingi kiasi zikiwemo za hbo huko mambo ni mazito kidogo yaani ukiwa unacheck movies zake inabidi uwe peke yako au uwe na demu wako maana sio kukaa na watoto maana unaeza aibika.
Yaani kama church kungekuwa kunapigwa menu basi usingekuwa tofauti na Mwislamu aliyeingia church kisha akakwiba jungu la minofu, na baada ya kushiba anagundua amepiga kitimoto halafu bado unatoka nje unaanza kulia lia!!!

Kwa maana nyingine, huna tofauti na mtu aliyeingia nyumba ya baba Paroko, akaiba sufuria la minofu na baada ya kula na kushiba unagundua ni kitimoto lakini bado unaenda kulalamika!!
 
Ndio maana nikamjibu hivi!
Hivyo wewe zote hizo umeshaziangalia..na umeathirika tayari
 
Hadi vitabu vya watoto kuna moja title yake MY TWO DADIES AND ME:Joones,michael,etl.
kipo amazon
Jesus christ cjui tunaelekea wapi?!
 
Directors wengi na producers ni watu wa mitazamo hiyo so kwao wanaona ni agenda wanayopaswa kuiweka ili jamii ichukuliane nayo na ndio maana hasa wanatumia watu weusi kama mapunga lakini pia swala la interracial relationship linapewa nguvu !
 
Back
Top Bottom