Kwani wanawatengenezea waafrika?Wao wanatengeneza kwa ajili yao na soko la kwanza wanalolilenga ni wao wenyewe na jamii zao sasa nyie kinachowafanya mtazame chanel zamabeberu ni nini.TBC ipo,tazameni hiyo ambayo ni mahususi kwaajili yenu.wao washazoea ila wanataka bara hili liingie kwenye mkumbo wao
Mtengeneze katuni zenu.kwanini mnapenda kuangaika na mambo ya watu.Mabeberu wanatengenezea watoto wao wewe kinachokupeleka uonyeshe mwanao ambaye uwezo wake wakutofautisha nzuri na baya ni mdogo ni nini?.Na Pia Tuwe Makini na CARTOON wanazoangalia Watoto Wetu.....
Zipo zenye CONTENT za LGBT Kabisaaaa......
Mtengeneze katuni zenu.kwanini mnapenda kuangaika na mambo ya watu.Mabeberu wanatengenezea watoto wao wewe kinachokupeleka uonyeshe mwanao ambaye uwezo wake wakutofautisha zuri na baya ni mdogo ni nini?.Na Pia Tuwe Makini na CARTOON wanazoangalia Watoto Wetu.....
Zipo zenye CONTENT za LGBT Kabisaaaa......
yan mkuu sasa hv ni kuwa makini sanaHadi vitabu vya watoto kuna moja title yake MY TWO DADIES AND ME:Joones,michael,etl.
kipo amazon
Jesus christ cjui tunaelekea wapi?!
yap ila kwa wakristo wanasema unabii unaenda kutimiayan mkuu sasa hv ni kuwa makini sana
Mtengeneze katuni zenu.kwanini mnapenda kuangaika na mambo ya watu.Mabeberu wanatengenezea watoto wao wewe kinachokupeleka uonyeshe mwanao ambaye uwezo wake wakutofautisha zuri na baya ni mdogo ni nini?.
hahaha umeona eehMaisha haya bila movie na series nahisi kufa kufa hivi
saMbona Umkali Sana?!!
Wametutengenezea mengi tunatumia,tukisema kuhusu Hili KOSA letu linakuwa Ni Nini?!!Kwani wote wa huko wanashiriki ama kusupport nilichokisema?!!!
Tahadhari ya Mambo iko duniani Kote,Kama hii haikuhusu basi wewe pita kushoto tu....
Mbona Umkali Sana?!!
Wametutengenezea mengi tunatumia,tukisema kuhusu Hili KOSA letu linakuwa Ni Nini?!!Kwani wote wa huko wanashiriki ama kusupport nilichokisema?!!!
Tahadhari ya Mambo iko duniani Kote,Kama hii haikuhusu basi wewe pita kushoto tu....
Acha kujibaraguza wewe.Hapo juu kwenyewe umecoment solution nikuacha kutazama bado uku unasema hayazuiliki sasa unajielewa kweli wewe.au nyie ndo wale mnaojifanya hamtaki mambo yamabeberu mnataka muwe huru uku vingine mnavitaka.Kama uwezo wako wakuchanganua mambo uko chini acha kulalamikia mambo ya watu ambayo hayakuhusu na una uwezo nayosa
nimeipenda hiyo mkuu hahaha maana kuna watu huwa wana diss kila kitu na kuchukulia mambo jumla jumla bora umempa za usoo.humu ni tunajadili mambomembi mengu likiwemo na hili ambayo hayazuliki kwa namna moja ama nyingine na kutafuta ufumbuzi sasa unakuta jitu linakuja kusema mambo utadhan lenyewe alipo dunian au anajikuta smart kweli ku crash kila uzi
mpuuzi weweAcha kujibaraguza wewe.Hapo juu kwenyewe umecoment solution nikuacha kutazama bado uku unasema hayazuiliki sasa unajielewa kweli wewe.au nyie ndo wale mnaojifanya hamtaki mambo yamabeberu mnataka muwe huru uku vingine mnavitaka.Kama uwezo wako wakuchanganua mambo uko chini acha kulalamikia mambo ya watu ambayo hayakuhusu na una uwezo nayo