Tv show partner anahitajika

Tv show partner anahitajika

tumbo nene

Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
9
Reaction score
2
Hellow wanajf heshima kwenu
Sisi ni vijana wajasiriamali, tumebuni kipindi kizuri cha kuburudisha na kuelimisha jamii
 
tv show gan mkuu huwez kudadafua zaid???pia hicho kituo walichowapa udhamini kwa nini wasiwadhamini pia katika kurekodi hvo vipindi???
 
tv show gan mkuu huwez kudadafua zaid???pia hicho kituo walichowapa udhamini kwa nini wasiwadhamini pia katika kurekodi hvo vipindi???

ni kipindi kizuri tu kinachohusiana na maswala ya kijamii,kinaelimisha na kuburudisha sana,kuhusu kituo hicho kuturekodia ni vigum mno kwa vituo vya televishen vyote kufanya ivo siku iz,wadau wenye uzoefu na hili umu ndani watathibitisha hili,wana man power pamoja na facilities ndogo so ni ngumu ku-afford kurekod vipind vyao vya ndani na vya watu wengine wa nje pia,wanachofanya wakiona kipindi chako kimekaa kibiashara na kina-promise something in future ndio wanakupa udhamini wa airtime kwa mkataba maalum..
 
Back
Top Bottom